
KIUNGO MGUMU KANOUTE PINI ZAKE ILIKUWA DK 419
KIMATAIFA Sadio Kanoute raia wa Mali ameyeyusha jumla ya dk 419 hizi ni kwenye mechi za hatua ya makundi ndani ya Simba Katupia bao moja dk 62 ilikuwa mbele ya USGN Uwanja wa Mkapa tupo naye kwenye mwendo wa data kiungo mgumu ndani ya Simba. Bao lake alitupia kwa mguu wa kulia akiwa ndani ya…