
YANGA KUINGIA KAZINI KWA MARA NYINGINE TENA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi kesho Mei 4 kinatarajiwa kushuka uwanjani kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting. Tayari kikosi hicho kimewasili salama Kigoma na kupokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki ambao walijitokeza jana Mei 2. Ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya ule wa kwanza Yanga kushinda mabao 3-1 Uwanja…