
TAMBO ZIMEISHA MILANGO IKIWA MIGUMU,REKODI ZILIBAMBA NAMNA HII
ZILE tambo za watani wa jadi Yanga na Simba zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa wababe hao kutoshana nguvu bila kufungana. Aprili 30, 2022 mwamuzi Ramadhan Kayoko alikamilisha dk 90 bila ubao kusoma mabao kwa kuwa ilikuwa ni Yanga 0-0 Simba. Sare hiyo ilitawaliwa na matukio ya ubabe mwanzo mwisho ambapo Simba walianza kwa kasi dakika…