
KLOOP HAAMINI MACHO YAKE WAKITINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kuweza kufika hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni kupata uzoefu mpya kwa kuwa wachezaji wake waliweza kufanya jambo ambalo limemshangaza. Ilikuwa ni kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili, Liverpool walitoka nyuma mbele ya Villarreal na kushinda kwa jumla ya mabao 5-2….