
HIZI HAPA KUSHUKA UWANJANI LEO BONGO
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea le Mei 8 ambapo kutakuwa na msako wa pointi tatu kwa timu nne kwenye viwanja viwili tofauti ndani ya dk 90 za kazi. Ni Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda watakuwa Uwanja wa Mkwakwani,Tanga kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu,Malale Hamsini. Simba ambao…