
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wamekuwa kwenye mwendo usiofurahisha kwenye mechi tatu mfululizo jambo wanalolifanyia kazi. Kwenye mechi hizo tatu za ligi ambazo ni dakika 270 katika msako wa pointi 9 waliambulia pointi tatu pekee na kuacha mazima pointi 6 ambazo ni mateso kwao huku wakifungwa mabao mawili sawa na yale ambayo walifunga….
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameweka wazi kwamba bado hawajakata tamaa kuhusu kuweza kutetea taji lao hilo kwa msimu huu. Jana,Mei 8, Simba iliweza kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Ruvu Shooting huku nahodha John Bocco akiwa ni miongoni mwa watupiaji akifunga bao lake la kwanza msimu wa 2021/22 kwenye ligi….
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanaga amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons wanaamini kwamba watashinda. Leo Mei 9, vinara hao wa ligi wanatarajia kusaka pointi tatu mbele ya Prisons ambao nao wanahitaji pointi hizo, Uwanja wa Mkapa. Maandalizi ya mwisho ameweka wazi kwamba yamekamilika na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa…
KIKOSI cha KMC FC leo Mei 9 kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Alhamisi ya Mei 12 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya Kocha Mkuu, Thierry Hitimana inajiandaa na mchezo huo muhimu ikiwa nyumbani na hivyo…
WAKATI leo kikosi cha Tanzania Prisons ikiwa na kazi ya kuikabili Yanga,safu yake ya ushambuliaji inaonekana kuwa pasua kichwa kwenye utupiaji. Ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 ni mabao 15 imeweza kufunga ndani ya ligi katika dakika 1,980 ikiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dk 132. Kinara wa utupiaji wa mabao…
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa amepata pointi tatu lakini anaamini kwamba watu wengi hawapendi. Manchester City iliwatungua mabao 5-0 Newcastel United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Engand uliochezwa Uwanja wa City Of Manchester. Raheem Sterling alifunga mabao mawili ilikuwa dk 19,90+3,Aymeric Laporte alitupia dk ya 38,Rodri dk 61 na Phil Foden…
WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo, Ramadhan Kichuya amebainisha kwamba, anataka kumuona kijana wake akijiunga na Yanga SC. Baba Kichuya amesema mwanawe huyo atakuwa na wakati mzuri zaidi akiichezea Yanga na siyo Simba ambayo amekuwa na mapenzi nayo kwa…
KLABU ya DTB imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 mbele ya Pamba FC na wameweza kupata nafasi ya kupanda moja kwa moja Ligi Kuu Tanzania Bara. Jumla wamefikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 28 ndani ya Championship msimu huu. Pamba FC inabakiwa na pointi zake 36 baada ya kucheza mechi 28 msimu huu wa…
MECHI 100 kwa Shomari Kapombe akiwa na Simba tokea 2018 ni kazi kubwa ambayo ameifanya mkongwe huyu mwenye uwezo wa kupanda na kushuka. Yes, kwanza tuwapongeze Simba angalau kukumbuka wana mchezaji amecheza mechi idadi hiyo. Kwa kufanya hivyo itawaumbusha na wengine waweze kutambua kwamba kuna wachezaji wao wamecheza mechi ngapi na itawapa heshima kutamua mchango…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IKIWA Uwanja wa Mkapa kwa mara ya kwanza ndani ya msimu wa 2021/22 Simba inapata ushindi mkubwa kwenye mechi za ligi kwa kushinda mabao 4-1 mbele ya Ruvu Shooting. Awali ilikuwa inashikilia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kuwa ni mkuwa kwao kwa msimu huu ndani ya ligi baada ya kucheza mechi 22…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi sababu kubwa ya kupata sare katika michezo yao miwili mfululizo iliyopita ni uchovu ambao wachezaji wao walikuwa nao, kutokana na kutumia nguvu kubwa ya kujiandaa na kucheza mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba uliopigwa Jumapili iliyopita. Aprili 30,2022wababe haowalikutana uwanjani kwenye mchezo wa ligi na kugawana pointi…
ILE pumzi ya moto itavutwa kwelikweli kwa wababe wawili wanaotarajiwa kukutana leo Uwanja wa Mkapa,Simba v Ruvu Shooting. Ikumbukwe kwamba wababe hawa hawajawa kwenye mwendo unaopendeza hivyo kila mmoja atakuwa anatafuta sehemu ya kutokea na haya yatafanya pumzi ivutwe namna hii:- Dakika 270 bila tabasamu Wababe hawa wanakutana wakiwa wametoka kukamilisha dk 270 ambazo ni…
LEO Jumapili ya Mei 8,2022 Simba ikitarajiwa kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, inatarajiwa kuwakosa Clatous Chama na Sadio Kanoute ambao ni majeruhi. Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu ameweka wazi kwamba nyota hao hawapo fiti kutokana na kusumbuliwa na majeraha. “Tuna majeruhi wawili ambao hawatacheza mechi yetu ambao ni Sadio Kanoute na Clatous Chama.” Huu ni…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, ameamua kubadili mbinu kuhakikisha kikosi chake kinarudisha furaha kwa mashabiki na kumaliza msimu vizuri, huku akianza jambo hilo katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Katika hilo, Pablo ameamua kuunda vikosi viwili ambavyo vitakuwa na uwezo wa kucheza mechi kulingana na…
HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa MC amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata mbele ya Azam FC jambo ambalo limewafanya wapoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo watajipanga kwa ajili ya mechi zijazo kupata matokeo.