
MKUDE AVURUGA MIPANGO YA PABLO SIMBA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao hawajawa fiti wanavuruga mipango ya timu hiyo kutokana na kumpa kazi ya kubadili kikosi cha ushindi. Miongoni mwa wachezaji ambao hawajawa fiti kwa sasa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo wa kazi Jonas Mkude na mshambuliaji Chris Mugalu. Akizungumza na…