
BECKHAM AMZUIA RONALDO KUONDOKA UNITED
STAA mkongwe wa soka, David Beckham amesema anatamani kuona staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anasalia kikosini hapo kwani ni mchezaji muhimu. Hii ni baada ya kuwepo tetesi kuwa huenda Ronaldo akatimka kikosini hapo, baada ya Man United kushindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba wa mwaka mmoja…