
YANGA:MAYELE NI FUNDI WA KUPIGA PENALTI NYIE
HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa mshambulaji wa kikosi hicho Fiston Mayele ni fundi wa kupiga penalti kuliko watu wanavyofikiria. Kwenye mchezo dhidi ya Prisons Mayele alikosa penalti ya kwanza ndani ya ligi na kuwafanya wakose mazima pointi tatu na kugawana mojamoja Uwanja wa Mkapa. Manara amesema kuwa kilichotokea kwa Mayele ni jambo ambalo…