
INJINIA HERSI AFICHUA USAJILI YANGA
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, ameahidi msimu ujao kufanya usajili mkubwa zaidi utakaokuwa gumzo Afrika kwa kushusha mashine hatari zaidi ya Khalid Aucho na Yannick Bangala. Hiyo ni baada ya msimu huu unaoelekea ukingoni kushusha vifaa vya maana wakiwemo nyota hao…