
PABLO ACHIMBA MKWARA WA UBINGWA YANGA
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania, amefichua kuwa anaamini suala la ubingwa kwa Yanga bado gumu kwa kuwa hata wao wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo ikiwa Yanga wataendelea kuangusha pointi katika mechi zao za Ligi Kuu Bara. Pablo ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kufikisha pointi 57 baada ya mechi 23…