
KIUNGO WA YANGA FEI AWEKA WAZI SABABU ZA UPAMBANAJI
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo wanaifanya uwanjani ni kusaka ushindi jambo linalowafanya wawe na furaha. Fei ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amekuwa kwenye ubora kila awapo uwanjani. Kesho Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City na wanatarajiwa pia kukabidhiwa taji lao la…