
KASI NZIMA YA BIASHARA UNITED V YANGA ILIKWENDA NAMNA HII
NYOTA wa Yanga Fiston Mayele amezidi kutetema baada ya jana kufunga bao lake la 14 ndani ya Ligi Kuu Bara mble ya Biashara United kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ilikuwa ni Mei 23 ambapo mchezo huo ulikuwa ni kasi kubwa dk 45 za mwanzo zilimeguka bila timu hizo kufungana. Katika mchezo huo timu zote…