
MKALI WA MABAO MLANGONI SIMBA SC *AMEWAHI KUWEKA REKODI YA UFUNGAJI MABAO UGANDA
IMEFAHAMIKA kuwa Simba ipo katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Vipers SC ya Uganda, Yunus Sentamu, ambaye raia wa Uganda. Simba imepanga kukifanyia uboreshaji kikosi chake katika baadhi ya nafasi kati ya hizo ni safu ya ushambuliaji ambayo imeonekana kutokuwa na ubora mzuri. Wakimpata straika huyu inaelezwa kuwa tatizo hilo litakuwa limekwisha rasmi. Sentamu msimu…