
COASTAL WAANZA KUIVUTIA KASI MBEYA CITY
BAADA ya kumaliza kazi mbele ya Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga hesabu zao kwa sasa ni mbele ya Mbeya City. Mabao ya Coastal Union yenye maskani yake pale Tanga yalipachikwa na kijana Abdul Suleiman ambaye ameitwa pia kwenye kikosi cha timu ya…