
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IKIWA Uwanja wa Mkapa kwa mara ya kwanza ndani ya msimu wa 2021/22 Simba inapata ushindi mkubwa kwenye mechi za ligi kwa kushinda mabao 4-1 mbele ya Ruvu Shooting. Awali ilikuwa inashikilia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kuwa ni mkuwa kwao kwa msimu huu ndani ya ligi baada ya kucheza mechi 22…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi sababu kubwa ya kupata sare katika michezo yao miwili mfululizo iliyopita ni uchovu ambao wachezaji wao walikuwa nao, kutokana na kutumia nguvu kubwa ya kujiandaa na kucheza mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba uliopigwa Jumapili iliyopita. Aprili 30,2022wababe haowalikutana uwanjani kwenye mchezo wa ligi na kugawana pointi…
ILE pumzi ya moto itavutwa kwelikweli kwa wababe wawili wanaotarajiwa kukutana leo Uwanja wa Mkapa,Simba v Ruvu Shooting. Ikumbukwe kwamba wababe hawa hawajawa kwenye mwendo unaopendeza hivyo kila mmoja atakuwa anatafuta sehemu ya kutokea na haya yatafanya pumzi ivutwe namna hii:- Dakika 270 bila tabasamu Wababe hawa wanakutana wakiwa wametoka kukamilisha dk 270 ambazo ni…
LEO Jumapili ya Mei 8,2022 Simba ikitarajiwa kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, inatarajiwa kuwakosa Clatous Chama na Sadio Kanoute ambao ni majeruhi. Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu ameweka wazi kwamba nyota hao hawapo fiti kutokana na kusumbuliwa na majeraha. “Tuna majeruhi wawili ambao hawatacheza mechi yetu ambao ni Sadio Kanoute na Clatous Chama.” Huu ni…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, ameamua kubadili mbinu kuhakikisha kikosi chake kinarudisha furaha kwa mashabiki na kumaliza msimu vizuri, huku akianza jambo hilo katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Katika hilo, Pablo ameamua kuunda vikosi viwili ambavyo vitakuwa na uwezo wa kucheza mechi kulingana na…
HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa MC amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata mbele ya Azam FC jambo ambalo limewafanya wapoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo watajipanga kwa ajili ya mechi zijazo kupata matokeo.
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ambayo waliyapata jana Mei 7,2022 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC leo Mei 8 kikosi cha Azam FC kimekwea pipa kuelekea Mbeya. Mabao mawili ya Rodgers Kola yalitosha kuipa pointi tatu Azam FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwa KMC ni bao la nyota…
LIGI ya Soka la Ufukweni inaendelea kushika kasi ambapo kila timu imekuwa ikifanya yake kwenye msako wa pointi tatu. Jana Mei 7,2022 timu nne zilikuwa uwanjani kusaka ushindi kwenye mechi ambazo walicheza huku mashabiki wakijitokeza kwa wingi. Ni kwenye Viwanja vya Fukwe za Coco Beach ambapo wachezaji hao wanasaka ushindi ili kuweza kufikia malengo yao….
JKT Tanzania leo itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Championship unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Kwenye msimamo JKT Tanzania inashika nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 47 kwenye michezo 27. Ihefu ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 59 na imecheza pia michezo 27 ndani…
MASTAA watatu wa kikosi cha Simba ndani ya msimu wa 2021/22 kwenye ligi wanapata tabu kwa kuwa wamekwama kufunga kwenye mechi zao zote walizocheza. Simba wakiwa ni mabingwa watetezi eneo la ushambuliaji wanateswa na tatizo la kushindwa kumaliza nafasi ambazo wanazitengeneza jambo linalowafanya wawe kwenye mwendo wa kusuasua. Washambuliaji wake watatu msimu huu kwenye ligi…
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea le Mei 8 ambapo kutakuwa na msako wa pointi tatu kwa timu nne kwenye viwanja viwili tofauti ndani ya dk 90 za kazi. Ni Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda watakuwa Uwanja wa Mkwakwani,Tanga kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu,Malale Hamsini. Simba ambao…
YANGA imeonekana kupania kufanya usajili bora utakaokuwa tishio kimataifa baada ya kumfuata mshambuliaji wa US Gendarmarie ya nchini Niger, Victorien Adebayor ambaye imemuwekea Sh 250Mil ili kuinasa saini yake. Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kumfuata mshambuliaji huyo anayecheza kwa mkopo Gendarmarie ambaye anamilikiwa na Klabu ya HB Køge inayocheza Ligi Daraja la Kwanza nchini Denmark….
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
VIGOGO wa Kariakoo, msimu wa 2021/22 wamekwaa kisiki cha mpigo Ilulu mbele ya Namungo kwa kushindwa kusepa na pointi tatu mazima. Msimu huu ushindani umekuwa ni mkubwa na kila timu imeoneana kufanya vizuri katika mechi ambazo inacheza jambo ambalo limekuwa likileta burudani mwanzo mwisho. Vigogo wa Kariakoo, Yanga na Simba walipofunga safari mpaka Ilulu, walikwama…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawekeza nguvu kubwa kwenye Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwao na hawatahofia kukutana na wapinzani wao Yanga. Tayari Yanga imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali inasubiri mshindi wa mchezo kati ya Simba na Pamba ili kujua itacheza na nani hatua ya nusu fainali. Meneja wa Kitengo…
LEO Mei 7,2022 watatu ni kumbukizi zao za kuletwa duniani wakiwa ndani ya kikosi cha Simba. Ni mchezaji Erasto Nyoni ambaye ni kiraka huyu msimu huu hajafunga wala kutoa pasi ya bao kwenye mechi za ligi. Mwingine ni meneja wa timu,Patrick Rweyemamu ambaye amekuwa akifanya kazi kwa ukaribu na familia ya michezo. Pia mtunza vifaa…