
UWANJA WA AMAAN:TANZANIA 0-0 CAMEROON
LEO Juni 5,2022 timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 inacheza mchezo wa marudio kuweza kuwania kufuzu Kombe la Sunia. Mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini, U 17 ya Tanzania ilishinda kwa mabao 4-1 hivyo leo wanakamilisha dk 90 za mchezo wa pili. Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika na imekuwa Tanzania U…