
KIUNGO MNIGERIA ASAINI AZAM FC
AZAM FC leo Julai Mosi wameufungua mwezi kwa kumtamulisha nyota mpya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Ni kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Isah Ndala ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili. Ndala alikuwa akichezea Plateau ya Nigeria, amesaini mkataba mbele ya mmiliki wa timu, Yusuf Bakhresa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim…