
ISHU YA KUPANGA MATOKEO ISIPEWE NAFASI
NYAKATI za mashaka kwa sasa kwa baadhi ya timu na mashabiki ni sasa hasa kutokana na kushindwa kupata matokeo kwenye mechi ambazo walicheza mzunguko wa kwanza. Ukurasa wa mwisho kwa mechi ambazo zitachezwa utaamua nani atakuwa nani baada ya mwisho wa msimu kutokana na kila timu kuhitaji pointi tatu. Mbeya Kwanza asanteni kwa kuja nadhani…