JACPOT YA SPORTPESA BILIONI YATOLEWA KWA MSHINDI

MSHINDI wa Jacpot Florian Valerian Massawe amekabidhiwa mfano wa hundi ya Bilioni 1,255,316,060/ na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Tarimba Abbas. Ni leo Mei 18 mshindi huyo amekabidhiwa katika ofisi za Sportpesa mbele ya mwakilishi kutoka TRA, Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Michezo ya Kubahatisha  pamoja na mke wa mshindi Lightness Florian Massawe. Mshindi huyo amesema…

Read More

MTAMBO WA MABAO POLISI TANZANIA NJE WIKI MBILI

STAA wa Polisi Tanzania, Vitalis Mayanga anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita kabla ya kurejea uwanjani kwa sasa akiwa amebakiza wiki mbili. Mayanga atakuwa nje kwa muda huo akitibu majeraha ambayo aliyapata kwenye mchezo dhidi ya Simba uliochezwa Aprili 10, kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi. Kwenye mchezo huo wa ligi timu zote…

Read More

DODOMA JIJI WAJA NA HESABU KALI KWELI

BAADA ya kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga,mpango namba moja kwa Dodoma Jiji ni kuweza kushinda mechi zao ambazo zimebaki. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ilikubali kushuhudia mabao ya Dickosn Ambundo pamoja na la kipa wao Mohamed kujifunga jambo lililofanya wakapoteza pointi tatu mazima.  Msemaji wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema wanamikakati mikubwa ya kuhakikisha…

Read More

LIVERPOOL WAFANYA KWELI UGENINI

LIVERPOOL imepindua meza kibabe mbele ya Southampton iliyo nafasi ya  15 na pointi 40 kibindoni. Nathaniel Redmond aliwatungua Liverpool mapema kabisa ilikuwa ni dk ya 13 kisha Takumi Minamino dk ya 27 aliweka usawa ilikuwa kwa shuti kali lililomshinda kipa kwenye mchezo huo. Dakika 45 za mchezo zilikamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1 na…

Read More

KARIBU KWENYE FAMILIA YA KIBINGWA YA MERIDIANBET UFURAHIE SLOTI YA BURSTING HOT 5

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5   Ukiingia kwenye sehemu ya Kasino ya Mtandaoni ya…

Read More

KLOPP AKIRI KUWA WALIKUWA WANAMHITAJI MBAPPE

 KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kwamba walikuwa na mpango wa kuinasa saini ya nyota wa PSG, Kylian Mbappe. Klopp amebainisha kwamba wao sio vipofu kwenye kuingia vita vya kusaka saini yake kwa kuwa kuna timu zenye nguvu kubwa. Klopp ameweka wazi kwamba kwa sasa hawawezi kushindana na Real Madrid pamoja na mabosi…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA,MATOKEO BONGO

 MEI 18, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu kuzidi kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watacheza na leo ni mchezo mmoja tu wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa. Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku. Azam FC ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi…

Read More

GEORGE MPOLE NI TOFAUTI NA JINA LAKE KABISA

GEORGE Mpole, mshambuliaji namba moja wa kikosi cha Geita Gold na mzawa namba moja kwa utupiaji Bongo jina lake halisadifu yaliyomo kwenye miguu yake. Nyota huyo kwa sasa anaongoza chati ya washambuliaji wakali wa kucheka na nyavu huku akiwa anaitwa Mpole kwa jina lakini uwanjani yeye anatupia tu. Bao pekee la ushindi ambalo alifunga mbele…

Read More

BEKI YANGA AONGEZA DILI JIPYA

RASMI beki kisiki wa Yanga ambaye ni nahodha pia Bakari Nondo Mwamnyeto ameongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wa nyota huyo ambaye aliibuka hapo akitokea kikosi cha Coastal Union ulikuwa unatarajiwa kufika tamati mwishoni mwa msimu wa 2021/22. Miongoni mwa timu ambazo zilikuwa zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na timu…

Read More

MKUDE AVURUGA MIPANGO YA PABLO SIMBA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao hawajawa fiti wanavuruga mipango ya timu hiyo kutokana na kumpa kazi ya kubadili kikosi cha ushindi. Miongoni mwa wachezaji ambao hawajawa fiti kwa sasa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo wa kazi Jonas Mkude na mshambuliaji Chris Mugalu. Akizungumza na…

Read More

SURE BOY AMPA KIBURI BOSI YANGA

MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora wa kiungo mchezeshaji, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ ambao umeongeza ubora wa kikosi chao. Sure Boy ni kati ya wachezaji watano waliosajiliwa na Yanga katika dirisha dogo msimu huu akitokea Azam FC. Wachezaji wengine waliosajiliwa na timu…

Read More

INJINIA HERSI AFICHUA USAJILI YANGA

MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, ameahidi msimu ujao kufanya usajili mkubwa zaidi utakaokuwa gumzo Afrika kwa kushusha mashine hatari zaidi ya Khalid Aucho na Yannick Bangala. Hiyo ni baada ya msimu huu unaoelekea ukingoni kushusha vifaa vya maana wakiwemo nyota hao…

Read More

MBWANA MAKATA,MENEJA WA MBEYA KWANZA WAFUNGIWA

KOCHA wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na Meneja wa timu hiyo, David Naftali, wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo,  Tukio hilo lililosababisha Mechi Namba 180 ya Ligi Kuu Bara Namungo vs Mbeya Kwanza usichezwe lilitokea kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi. Taarifa iliyotolewa na…

Read More