
SIMBA NOMA YATUMIA UJANJA KUMNASA KIUNGO FUNDI
UNAAMBIWA pamoja na Wydad Casablanca na Raja Casablanca zote za Morocco kuhitaji saini ya kiungo raia wa Guinea, Morlaye Sylla, Simba SC imetumia ujanja wa kwenda kuzungumza na familia ya nyota huyo. Sylla msimu huu amekichakaza vilivyo ndani ya kikosi cha Horoya AC ya Guinea, ambayo alijiunga nayo Julai Mosi 2019, kwa mkataba wa miaka…