
SIMBA YAMUACHIA STRAIKA WAO KUTUA SINGIDA
IMEELEZWA kuwa, Simba ipo katika mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kumuachia mshambuliaji wake, Yusuph Mhilu kwenda Singida Big Stars. Mhilu ni kati ya washambuliaji waliosajiliwa na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao ambacho kimeshindwa kutetea mataji yake ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports….