
MAJEMBE HAYA MAWILI KUIBUKIA YANGA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wamemalizana na nyota wawili kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 kwenye ligi na mechi za kimataifa. Ni Stephan Aziz KI ambaye ni mali ya ASEC Mimosas yeye ni kiungo mshambuliaji na Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs yeye ni raia wa Zambia ambaye ni mshambuliaji. Sababu kubwa ya kuweza kunasa…