
BWALYA AWEKA WAZI KWAMBA AMEJIFUNZA MENGI SIMBA
RALLY Bwalya kiungo wa Simba amesema kuwa miaka miwili aliyodumu hapo amejifunza mengi kwa kuwa amefanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Jana Bwalya alicheza mchezo maalumu wa ligi na kuagwa kwa heshima na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu hiyo ambayo ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo. Kwenye mchezo…