
MSIMU UNAFIKA UKINGONI SASA HESABU MUHIMU
WAKATI uliobaki kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara ni mdogo hasa ukizingatia kwamba mechi zilizobaki hazizidi 7 kwa timu zinazoshiriki ligi hivyo ni muda wa kukamilisha hesabu. Matokeo ambayo yanapatikana leo ni maandalizi ya jana hivyo kwa sasa ni muda wa kufanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kesho. Tunaona kwamba wapo wachezaji ambao kwa sasa…