
COASTAL UNION WAMALIZANA NA KIPA
COASTAL Union wameanza na kuongeza nguvu kwenye ulinzi baada ya Julai 14,2022 kukamilisha usajili wa mlinda mlango namba mbili wa timu ya Taifa ya Comoro, Mahamoud Mroivili. Unakuwa ni usajili wa kwanza ndani ya Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Kipa huyo amepewa dili la miaka miwili kuweza kuitumikia timu hiyo kwa ajili…