
BREAKING:SIMBA YATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA
HABIB Kyombo nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Mbeya Kwanza leo Julai 9 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyu anakuwa ni mzawa wa kwanza kuweza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho ambacho msimu wa 2021/22 ulikuwa ni mbaya kwao kwa kukosa kila kitu walichokuwa wanapambania. Kombe la Shirikisho, Ngao ya Jamii na lile…