
HAJI MANARA AOMBA MSAMAHA KWA RAIS WA TFF
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amemuomba msamaha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Mara baada ya mchezo huo kuna video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Ofisa huyo wa Yanga akijibizana au…