
TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUMANNE, JUNI 21, 2022 …CHELSEA, ARSENAL, MAN UTD
Arsenal wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Brazil Raphinha kutoka Leeds United, huku nia ya Barcelona kumnunua mchezaji huyo wa miaka 25 ikiwa imepungua. (Goal – in Spanish) Chelsea wameungana na Tottenham kutaka kumsajili mshambuliaji wa Brazil Richarlison kutoka Everton, ambao wanataka zaidi ya £50m kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Mail) Marina Granovskaia, ambaye…