
MANARA ANAVYOGOMBANA NA MANARA MWENYEWE
“HAIWEZEKANI mpira ukaendeshwa kwa kulalamika lalamika, haiwezekani, niwapongeze sana TFF, Bodi ya Ligi na Serikali kwa kusimamia nidhamu ya mpira wa miguu ndani na nje ya uwanja wanatoa sapoti ligi inachezwa…..” Hizo ni baadhi ya kauli za msemaji wa mabingwa wa kihistoria Yanga SC, Haji Manara kipindi akiwa Simba ambapo alionyesha kuchukizwa waziwazi na kitendo…