
VIDEO:INJINIA AFAFANUA AHADI YA UWANJA ITAKAVYOTIMIZWA
INJINIA Hersi Said mgombea wa nafasi ya Urais ndani ya Yanga ameweka wazi kwamba Wanachama watakuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga kutokana na mchango ambao watakuwa wanatoa. Pia amezungumzia kuhusu kufanya vizuri kwa Yanga Princess pamoja na maendeleo yajayo. Kuhusu ahadi ya uwanja pamoja na mafanikio ya kutwaa makombe ambayo aliahidi na akafanikiwa hayo…