
ARSENAL YATEMBEZA KICHAPO CHA 4G
UWANJA wa Emirates, Arsenal imeshinda jumla ya mabao 4-2 dhidi ya Leicester City ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England. Ushindi huo unawafanya washika bunduki hao kusepa na pointi tatu mazima kwa mabao ya Gabriel Jessus dk ya 23 na 35,Granit Xhaka dk 55 na Gabriel Martinell dk ya 75. Kwa upande wa Leicester City…