
NABI ATAKA KROSI, KONA BAO, MGUNDA ATENGA DAKIKA 180
NABI ataka krosi,kona bao, Mgunda atenga dakika 180 Simba ndani a Championi Jumamosi
NABI ataka krosi,kona bao, Mgunda atenga dakika 180 Simba ndani a Championi Jumamosi
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo Septemba 23 kimelazimisha suluhu dhidi ya Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo wageni Sudan Kusini walicheza kwa umakini wakitumia mbinu ya kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. U 23 ilianza…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema yeye na wachezaji wenzake hawana presha kuhusu mchezo wa raundi ya pili ya mtoano dhidi ya Al Hilal ya Sudan Kaskazini. Mayele ametoa kauli hiyo kwa kujiamini akisema ni halali yao kuingia makundi katika michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwani wana wachezaji wazuri na wanajiamini, hivyo hawana presha…
WINGA wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Ufaransa Ousmane Dembele amefunguka juu ya maumivu aliyoyapitia katika miaka yake mitano ya awali akiwa na kikosi chake cha Barcelona. Dembele ambaye kwa sasa yupo na kikosi cha Taifa cha Ufaransa kinachoshiriki michezo ya Uefa Nations amefunguka akidai kuwa miaka yake mitano ya awali akiwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wameona ubora wa wapinzani wao Al Hilal ya Sudan hivyo watafanya maandalizi mazuri kupata matokeo. Nabi amesema ameona ubora wa Al Hilal ambao ameuficha kwa kukataa kuuweka wazi kwa kuhofia wapinzani kushtuka, zaidi akipanga kukiimarisha zaidi kikosi chake ili kuhakikisha anapata ushindi nyumbani na ugenini. “Mimi ni…
KOCHA Mbrazili aibukia Simba,mastaa Yanga waiapia Al Hilal ndani ya Championi Ijumaa
MECHI mbili za kirafiki watacheza wakiwa Zanzibar watanza na Kipanga, Septemba 25 na Septemba 28 watacheza dhidi ya Malindi. Mechi hizi za kirafiki ni kutokana na mwaliko ambao wameupata kutoka Shirikisho la Soka la Zanzibar, (ZFF). Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa mechi zote zitachezwa saa moja usiku na itakuwa…
Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto umehamia kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Mataifa ya Ulaya yatakuwa uwanjani kuhakikisha heshima ya nchi inasimama na mashabiki wanapata burudani ya soka safi, Meridianbet hawajakusahau wanamtonyo wako. Macho ya wapenzi wa soka hayatakuwa na ukungu usiku wa Alhamisi, wakati kijana wa Kifaransa Kylian Mbappe akiwa mstari…
HAYA hapa mabadiliko ya ratiba ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Mchezo nambari 35 Kati ya KMC FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC uliopangwa kuchezwa Septemba 27, 2022 saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru, Dar, utachezwa Octoba 15, 2022. Mchezo nambari 33 Kati ya Ruvu Shooting FC dhidi ya Coastal Union FC…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Honour Janza, amesema kuwa mechi za kirafiki za kimataifa zilzio kwenye Kalenda ya FIFA zitampa mwanga wa kusuka kikosi imara kwa ajili ya ushindani. Stars inatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Uganda na Libya na zitachezwa nchini Libya na tayari kikosi hicho kimeshatua nchini…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anawafahamu wapinzani wake kimataifa Al Hilal watajipanga kupata matokeo chanya
MCHAMBUZI wa masuala ya mpira Bongo,Ahmed Abdalla amewachambua wapinzani wa Simba kimataifa
KOCHA Mkuu wa Azam FC Denis Jean Lavagne ameweka wazi kuwa mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe utampa nafasi ya kuwajua wachezaji wake kwa ukaribu. Wachezaji 20 wa Azam FC wanatarajiwa kukwea pipa leo kuelekea Zambia kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya TP Mazembe. “Mazoezi ni mazuri…
KWA mipango hii, Yanga inatoboa CAF, Simba SC hakuna kulaza damu ndani ya Spoti Xtra, Alhamisi
MVURUGANO ambao huwa unapatikana baada ya matokeo yasiyotarajiwa kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania kwenye benchi la ufundi pamoja na wachezaji huwa unakuwa sio wa kawaida. Hii inatokea kwa sababu kila mmoja anapoingia uwanjani mpango wake ni kuona timu inapata matokeo na pale inaposhindikana. Uzuri ni kwamba mchezo wa mpira ni mchezo wa…
UONGOZI wa Simba unatajwa kuingia chimbo kumsaka mrithi wa Zoran Maki na kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda ambaye ameiongoza timu hiyo kwenye mechi tatu, Meneja wa Habari na Mawasiliano ndani ya Simba Ahmed Ally amebainisha kuwa mchakato wa kumsaka kocha mpya umeanza
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa msimu huu wamejipanga kufanya vizuri kwenye mechi zao zote watakazoshuka uwanjani. Bwire ameongeza kuwa msimu huu ni tofauti na uliopita jambo linawapa nguvu ya kuongeza juhudi ili kuleta ushindani. “Msimu huu ni watofauti na kila timu inahitaji ushindi nasi tupo tayari ukizingatia kwamba tumefanya usajili…