
YANGA WACHAPA 4G KIMATAIFA
UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Zalan 0-4 Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya awali. Mabao yote ya Yanga yamefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 ubao kusoma Zalan 0-0 Yanga. Fiston Mayele ambaye katupia mabao matatu mwenyewe alianza kufunga bao la kuongoza dakika ya 47 na mengine…