Home Sports JESHI LA YANGA DHIDI YA ZALAN FC KIMATAIFA Sports JESHI LA YANGA DHIDI YA ZALAN FC KIMATAIFA September 10, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp LEO Yanga itakuwa ugenini kwenye mchezo wa hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC. Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoanza namna hii:- Mshery Djuma Kibwana Bangala Aucho Feisal Ambundo Mayele Aziz KI Moloko Akiba Johora Bacca Bryson Job Lomalisa Mauya Gael Nkana Makambo