Kikosi cha Yanga vs Al Ahly Leo Zanzibar – CAF Champions League
Mechi ya marudiano ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itapigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kikosi cha Al Ahly Kitakachoivaa Yanga LeoMabingwa wa Afrika Al Ahly wanashuka dimbani dhidi ya Yanga katika mechi ya marudiano ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, New Amaan Complex…