
YANGA KUCHAGUA SIKU YA KUFUNGWA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa watapanga wao lini wafungwe ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na uimara walionao. Kwenye ligi Yanga imecheza mechi 44 bila kufungwa ambapo walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba ambao ni watani zao wa jadi. Jana walipata ushindi wa bao1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo…