
SERENGETI GIRLS WAPAMBANAJI WANASTAHILI PONGEZI
TIMU ya Taifa ya Wasichana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Girls, jana Jumamosi iliyaaga mashindano ya Kombe la Dunia Wanawake U17 baada ya kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Colombia, lakini wametuhesimisha Watanzania. Kikosi hicho cha Bakari Shime, kilimaliza mechi hiyo ya robo fainali kikiwa tisa uwanjani kufuatia wachezaji wawili kuonyeshwa kadi nyekundu. Alianza…