
VIDEO;YANGA:ISHU YA MAKOCHA KUFUTWA KAZI ILIWASHTUA KWELI
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya KMC huku akibainisha kuwa kulikuwa na mshtuko kwa benchi la ufundi kutokana na tetesi za kufutwa kazi ndani ya timu hiyo