
RAIS YANGA AWAPA UHAKIKA KUTINGA MAKUNDI KIMATAIFA
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa wanaimani ya timu hiyo kukamilisha mpango wa kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Novemba 2,2022 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Uwanja wa Mkapa. Injinia amesema:”Nataka…