
WASHINDI WA PROMOSHENI YA BODABODA NA SIMU WAPATIKANA
Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti na kitochi au Simu janja, na ndivyo walivyofanya ndugu Godson Alex wa Chalinze-Ubena Nzomonzi na Denice wa Shinyanga Mjini. Ile promosheni iliyokuwa ikifanyika pale nyumba ya Mabingwa wa kubashiri Tanzania na Afrika Mashariki, Meridianbet hatimaye jana…