
ZIMBWE:TUTACHEZA KWA USHIRIKIANO, MASHABIKI WAJITOKEZE
MOHAMED Hussein Zimbwe Jr, nahodha wa Simba amesema kuwa hawataangalia mchezaji mmoja kwenye kukaba bali kila mchezaji atatimiza majukumu yake kwa ushirikiano. Akijibu swali la mwandishi wa habari alipoulizwa kuhusu safu ya ulinzi kumtolea macho mshambuliaji Fiston Mayele wanapokutana amesema kuwa wanafanya kazi kwa kushirikiana. Kesho Oktoba 23,2022 Simba inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye mchezo…