
BEKI WA KUPANDA NA KUSHUKA SIMBA KUIWAHI DABI
NYOTA wa Simba, Shomari Kapombe anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataanza maandalizi kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Simba na Yanga ambao ni watani wa jadi wanatarajiwa kumenyana Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu…