
WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA
KWENYE anga la kimataifa Yanga itashiriki Kombe la Shirikisho baada ya kukwama kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Ifahamu Club Africains kutoka Tunisia ambao ni wapinzani wa Yanga katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika