
AZAM FC KUIKABILI IHEFU
AZAM FC ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu leo Oktoba 31. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Azam FC itaingia uwanjani ikiwa imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Simba na kusepa na pointi tatu mazima huku kipa wao Ali Ahamada akifanikisha ngome…