YANGA:WACHEZAJI WAMEKUBALIANA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.  Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…

Read More

KOCHA MTIBWA AFICHUA UBORA WA SIMBA ULIPO

SALUM Mayanga, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ubora wa Simba umejificha kwenye safu ya viungo jambo linalowafanya wacheze kwa kujiamini kila wanapokuwa na mpira. Juzi, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa huku nyota wawili wa Mtibwa Sugar wakionyeshwa kadi nyekundu. Mayanga amesema…

Read More

NABI: WACHEZAJI WOTE WAPO TAYARI KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain. Ni Uwanja wa Mkapa ukiwa ni mchezo wa mtoano wa kwanza na ule wa pili tachezwa nchini Tunisia. Kocha amesema:”Wachezaji wako tayari na wameahidi kupambana, tunaomba sapoti kwa mashabiki wetu kujitokeza…

Read More

DUBE APELEKA MAUMIVU IHEFU

 MGUU uleule uliowapa tabu Simba, Uwanja wa Mkapa ndani ya 18 umegeuza kibao kwa mara nyingine mbele ya Ihefu. Mtupiaji yuleyule aliyempa tabu Air Manula sasa tabu iligeukia upande wa Ihefu kwa kipa Fikirini. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara jana dhidi ya Ihefu, nyota Dube alifunga bao kwa mguu wake wa kulia likiwa ni…

Read More

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi namba moja ni kuanza kupata ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kesho Novemba 2, Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano kuwania kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo utachezwa Uwanja…

Read More

KIUNGO WA KAZI CHELSEA KUSEPA BURE

KIUNGO wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ameripotiwa huenda akaondoka klabuni hapo bure kabisa mwishoni mwa msimu ujao kutokana na kumalizika kwa mkataba wake na kutokuwepo kwa maendeleo yoyote kwenye mazungumzo ya mkataba mpya. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Habari za michezo Fabrizio Romano amebainisha kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo huyo raia wa Ufaransa…

Read More