
ALIYEKUWA MTENDAJI MKUU WA SIMBA AFARIKI
Aliyekuwa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Dkt. Anorld Kashembe amefariki Dunia leo Desemba 23, 2024 huku klabu hiyo ikielezea kusikitishwa kumpoteza CEO wao huyo wa zamani ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa klabu…