
ARNE SLOT NI TUNU NDANI YA LIVERPOOL
Je unajua kwasasa mashabiki wa Liverpool ndio mashabiki wenye furaha zaidi Ulimwenguni?. Kama hujui basi ni hivi kalbu hiyo ndio klabu pekee ambayo ipo kileleni kwenye ligi kuu ya Uingereza na kwenye UEFA. Mpaka sasa kufikia Desemba 24 klabu ya Liverpool FC imeendelea kufanya vizuri chini ya uongozi wa kocha mkuu mpya Arne Slot, ambaye…