
DAKIKA 180 ZAIPA NGUVU SIMBA KUIKABILI DODOMA JIJI
DAKIKA 180 ambazo Simba imezitumia kwenye mechi za kirafiki Zanzibar zimewapa nguvu ya kupambana dhidi ya Dodoma Jiji. Leo kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kitatupa kete yake kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda amesema kuwa mechi mbili ambazo wamecheza Zanzibar zinawapa nguvu kwa ajili…