
IHEFU HAWANA JAMBO DOGO WATOA ZAWADI YA CHRISTMAS
KABLA ya mabox kuanza kufunguliwa tayari Ihefu wameshakamilisha kutoa zawadi yao kwa mashabiki zao. Ni msimu wa sikukuu wa Christmas na Mwaka Mpya 2023 pointi tatu waliziweka kibindoni na kuwapa zawadi ya furaha mashabiki zao. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Highland Estate, Septemba 24 ulisoma Ihefu 3-1 Mtibwa Sugar. Mabao kwenye mchezo…